Ufafanuzi wa mtatuo katika Kiswahili

mtatuo

nominoPlural mitatuo

  • 1

    namna ya kuchana kitu k.v. nguo au karatasi, kwa kuvuta kwa nguvu.

Matamshi

mtatuo

/mtatuwɔ/