Ufafanuzi wa mtawalia katika Kiswahili

mtawalia

kielezi

  • 1

    tamko litumiwalo kuelezea mfululizo wa matukio moja baada ya jingine bila ya kukatika; kwa mfululizo.

    ‘Siku tatu mtawalia’

Asili

Kar

Matamshi

mtawalia

/mtawalija/