Ufafanuzi wa mtawanyiko katika Kiswahili

mtawanyiko

nominoPlural mitawanyiko

  • 1

    namna au tendo la kutawanyika au kusambaa kutoka eneo dogo na kupanua eneo kuwa kubwa zaidi.

Matamshi

mtawanyiko

/mtawaɲikɔ/