Ufafanuzi wa mtazamaji katika Kiswahili

mtazamaji

nominoPlural watazamaji

  • 1

    mtu anayeangalia shughuli au jambo linavyofanyika kwa ajili ya kujifurahisha.

  • 2

    mtu anayetazama jambo kwa lengo la kutathmini utendaji wake.

Matamshi

mtazamaji

/mtazamaʄi/