Ufafanuzi wa mtegaji katika Kiswahili

mtegaji

nominoPlural wategaji

  • 1

    mtu anayeweka mitego kwa ajili ya kukamata wanyama, n.k..

  • 2

    mtu anayekwepakwepa kazi.

  • 3

    mtu anayetoa kitendawili.

Matamshi

mtegaji

/mtɛgaʄi/