Ufafanuzi msingi wa mtego katika Kiswahili

: mtego1mtego2

mtego1

nominoPlural mitego

  • 1

    chombo kitumiwacho kunasia kitu kinachotakiwa k.v. wanyama au ndege.

    jiriwa

Matamshi

mtego

/mtɛgɔ/

Ufafanuzi msingi wa mtego katika Kiswahili

: mtego1mtego2

mtego2

nominoPlural mitego

  • 1

    tendo linalofanywa kwa ujanja ili kupata kitakiwacho.

Matamshi

mtego

/mtɛgɔ/