Ufafanuzi wa mteja katika Kiswahili

mteja

nominoPlural wateja

  • 1

    mtu anayekwenda kupata huduma au bidhaa mahali fulani k.v. dukani, hospitalini, n.k..

Matamshi

mteja

/mtɛʄa/