Ufafanuzi wa mtekanyara katika Kiswahili

mtekanyara, mtekajinyara

nomino

  • 1

    mtu anayechukua wengine kama mateka, agh. kwa kudai jambo fulani.

Matamshi

mtekanyara

/mtɛkaɲara/