Ufafanuzi msingi wa mtembo katika Kiswahili

: mtembo1mtembo2mtembo3

mtembo1

nomino

 • 1

  kilele au moyo wa mnazi.

Matamshi

mtembo

/mtɛmbɔ/

Ufafanuzi msingi wa mtembo katika Kiswahili

: mtembo1mtembo2mtembo3

mtembo2

nomino

 • 1

  mpasuko wa visigino.

Matamshi

mtembo

/mtɛmbɔ/

Ufafanuzi msingi wa mtembo katika Kiswahili

: mtembo1mtembo2mtembo3

mtembo3

nomino

 • 1

  bikira atoaye damu nyingi.

  ‘Bikira wa mtembo’

Matamshi

mtembo

/mtɛmbɔ/