Ufafanuzi wa mtemi katika Kiswahili

mtemi

nominoPlural watemi

  • 1

    kizamani mtawala wa kijadi.

  • 2

    mtu mwenye nguvu na hodari kwa kupiga wenziwe.

    mbabe

Matamshi

mtemi

/mtɛmi/