Ufafanuzi wa mtemo katika Kiswahili

mtemo

nominoPlural mitemo

  • 1

    namna ya kukata kitu k.v. kuni.

Matamshi

mtemo

/mtɛmɔ/