Ufafanuzi wa mtendaji katika Kiswahili

mtendaji

nominoPlural watendaji

  • 1

    mtu anayehusika na utekelezaji wa jambo au kazi.

Matamshi

mtendaji

/mtɛndaʄi/