Ufafanuzi wa mtenge katika Kiswahili

mtenge

nominoPlural mitenge

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    ubao uwekwao mbavuni mwa ngalawa kama mrengu.

Matamshi

mtenge

/mtɛngɛ/