Ufafanuzi wa mtengenezaji katika Kiswahili

mtengenezaji

nominoPlural watengenezaji

  • 1

    mtu anayepanga au kutengeneza vitu hadi kufikia kiwango cha kufaa.

    fundi

Matamshi

mtengenezaji

/mtɛngɛnɛzaʄi/