Ufafanuzi wa mtengwa katika Kiswahili

mtengwa

nominoPlural watengwa

  • 1

    Kidini
    mtu mahashumu aliyetengwa maalumu kwa nguvu za kiungu ili kutimiza haja fulani k.v. mtume.

  • 2

    mtu aliyewekwa kando.

Matamshi

mtengwa

/mtɛngwa/