Ufafanuzi wa mtenzi katika Kiswahili

mtenzi

nominoPlural watenzi

  • 1

    mtu mwenye uwezo na mazoea ya kufanya jambo.

  • 2

    mtunzi wa mashairi, nyimbo au tenzi.

Matamshi

mtenzi

/mtɛnzi/