Ufafanuzi wa mteo katika Kiswahili

mteo

nominoPlural miteo

  • 1

    tendo la kuchemsha chakula na kukiepua kabla hakijaiva vizuri.

Matamshi

mteo

/mtɛɔ/