Ufafanuzi msingi wa mteremko katika Kiswahili

: mteremko1mteremko2

mteremko1

nominoPlural miteremko

  • 1

    mahali palipoinama k.v. kilima kutoka juu kwenda chini.

    mwinamo, mharara, mporomoko, shuko

Matamshi

mteremko

/mtɛrɛmkɔ/

Ufafanuzi msingi wa mteremko katika Kiswahili

: mteremko1mteremko2

mteremko2

nominoPlural miteremko

  • 1

    kitu cha bure au rahisi.

Matamshi

mteremko

/mtɛrɛmkɔ/