Ufafanuzi msingi wa mtetea katika Kiswahili

: mtetea1mtetea2

mtetea1

nomino

 • 1

  kuku aliyekwisha kupita makamo ya utamba na kuanza kutaga.

  tembe

Matamshi

mtetea

/mtɛtɛja/

Ufafanuzi msingi wa mtetea katika Kiswahili

: mtetea1mtetea2

mtetea2

kivumishi

  Matamshi

  mtetea

  /mtɛtɛja/