Ufafanuzi wa mtetezi katika Kiswahili

mtetezi

nomino

  • 1

    mtu anayepigania haki au jambo la mtu mwingine ili asionewe.

    mgombozi, wakili, mpigania

Matamshi

mtetezi

/mtɛtɛzi/