Ufafanuzi wa mteuzi katika Kiswahili

mteuzi

nominoPlural wateuzi

  • 1

    mtu aliye na tabia ya kuchaguachagua chakula au vitu vingine, hasa kutokana na majivuno.

    machagu

Matamshi

mteuzi

/mtɛwuzi/