Ufafanuzi wa mtihani katika Kiswahili

mtihani

nominoPlural mitihani

  • 1

    maswali yanayojibiwa kwa kuandika au vitendo ili kupima maarifa aliyonayo mtahiniwa.

  • 2

    majaribu, changamoto, njiapanda

  • 3

    mjarabu

Asili

Kar

Matamshi

mtihani

/mtihani/