Ufafanuzi msingi wa mtii katika Kiswahili

: mtii1mtii2

mtii1

nominoPlural watii

  • 1

    mtu anayefuata amri au analoelekezwa.

    mtiifu

Matamshi

mtii

/mti:/

Ufafanuzi msingi wa mtii katika Kiswahili

: mtii1mtii2

mtii2

kivumishi

  • 1

    -enye kutii.

    mtiifu, -tiifu

Matamshi

mtii

/mti:/