Ufafanuzi wa mtikisiko katika Kiswahili

mtikisiko

nomino

  • 1

    hali ya kuyumbayumba k.v. baada ya kusukumwa.

    msukosuko

  • 2

    kukosa msimamo.

Matamshi

mtikisiko

/mtikisikɔ/