Ufafanuzi wa mtindo katika Kiswahili

mtindo

nominoPlural mitindo

  • 1

    jinsi ya kufanya kitu kwa kufuata utaratibu fulani.

    kienzo, staili, bombwe, fani

Matamshi

mtindo

/mtindɔ/