Ufafanuzi wa mtoano katika Kiswahili

mtoano

nominoPlural mitoano

  • 1

    utaratibu wa mashindano ya michezo ambapo mchezaji au timu huondolewa kwenye mashindano mara tu inapopoteza mchezo.

    ‘Mashindano ya kugombea kombe la mtoano wa chama cha kandanda cha Zanzibar’
    mchujo

Matamshi

mtoano

/mtɔwanɔ/