Ufafanuzi wa mtoki katika Kiswahili

mtoki

nomino

  • 1

    uvimbe unaotokea kwenye paja karibu na nyonga au kwapa, agh. husababishwa na maumivu ya jeraha.

Matamshi

mtoki

/mtɔki/