Ufafanuzi wa mtongotongo katika Kiswahili

mtongotongo

nomino

  • 1

    aina ya mti wenye utomvu wa sumu.

Matamshi

mtongotongo

/mtɔngɔtɔngɔ/