Ufafanuzi wa mtongozaji katika Kiswahili

mtongozaji

nomino

  • 1

    mtu anayeshawishi mtu mwingine wawe na uhusiano wa kimapenzi.

    fisadi, kuwadi

Matamshi

mtongozaji

/mtɔngɔzaʄi/