Ufafanuzi msingi wa mtoto katika Kiswahili

: mtoto1mtoto2mtoto3

mtoto1

nominoPlural watoto, Plural mitoto

 • 1

  kiumbe anayezaliwa hasa na mtu na mnyama.

  ali, mwana

 • 2

  mtu mwenye umri mdogo.

Matamshi

mtoto

/mtɔtɔ/

Ufafanuzi msingi wa mtoto katika Kiswahili

: mtoto1mtoto2mtoto3

mtoto2

nominoPlural watoto, Plural mitoto

 • 1

  kitu kidogo kinachopachikwa kwenye kitu kingine.

Matamshi

mtoto

/mtɔtɔ/

Ufafanuzi msingi wa mtoto katika Kiswahili

: mtoto1mtoto2mtoto3

mtoto3

nominoPlural watoto, Plural mitoto

 • 1

  kidoa cheupe kinachomea ndani ya mboni ya jicho.

  ‘Mtoto wa jicho’
  trakoma

Matamshi

mtoto

/mtɔtɔ/