Ufafanuzi wa mtu wa miraba minne katika Kiswahili

mtu wa miraba minne

msemo

  • 1

    mtu wa umbo kubwa, agh. mwenye kifua kipana na nguvu.

Ufafanuzi wa Mtu wa miraba minne katika Kiswahili

Mtu wa miraba minne

msemo

  • 1

    mtu mrefu na mkakamavu sana.