Ufafanuzi wa mtufaha katika Kiswahili

mtufaha

nominoPlural mitufaha

  • 1

    mti unaozaa matufaha ambayo yakiiva, agh. huwa mekundu na huwa na mbegu ndogo katikati, na nyama ya majimaji.

Asili

Kar

Matamshi

mtufaha

/mtufaha/