Ufafanuzi wa mtuhumiwa katika Kiswahili

mtuhumiwa

nomino

  • 1

    mtu anayeshukiwa au kudhaniwa kuwa amefanya kosa.

    mshukiwa

Matamshi

mtuhumiwa

/mtuhumiwa/