Ufafanuzi wa mtukutu katika Kiswahili

mtukutu

nominoPlural watukutu

  • 1

    mtu, agh. mtoto, asiyesikia la mtu.

    mtundu, msumbi

Matamshi

mtukutu

/mtukutu/