Ufafanuzi wa mtumiaji katika Kiswahili

mtumiaji

nominoPlural watumiaji

  • 1

    mtu anayetumia bidhaa fulani kwa ajili ya kukidhi haja zake mbalimbali.

Matamshi

mtumiaji

/mtumijaʄi/