Ufafanuzi wa mtundu katika Kiswahili

mtundu

nominoPlural watundu

  • 1

    mtu asiyetulia.

    msumbi, mtukutu, mnumanuma

  • 2

    mtu mwenye sifa ya kuvumbua mambo.

Matamshi

mtundu

/mtundu/