Ufafanuzi wa mtungo katika Kiswahili

mtungo

nominoPlural mitungo

  • 1

    kitita cha vitu k.v. shanga au samaki waliofungwa kwa kupitishia kamba, uzi au waya kila kimoja cha vitu hivyo.

    kishazi

  • 2

    namna ya utungaji.

    insha

Matamshi

mtungo

/mtungɔ/