Ufafanuzi wa mtunguo katika Kiswahili

mtunguo, mdunguo

nominoPlural mitunguo

  • 1

    tendo la kuteremsha kitu kilicho juu kwa kutumia mti, n.k.; mtungulie.

  • 2

    nguo zinazoshonwa na kuning’inizwa dukani kwa ajili ya biashara.

    ‘Suruali ya mtunguo’

Matamshi

mtunguo

/mtunguwɔ/