Ufafanuzi wa mtunzi katika Kiswahili

mtunzi

nominoPlural watunzi

  • 1

    mtu anayetunga au kuandika kazi fulani k.v. nyimbo, mashairi au tenzi.

    ‘Mtunzi wa hadithi hii ni nani?’

Matamshi

mtunzi

/mtunzi/