Ufafanuzi msingi wa mtwa katika Kiswahili

: mtwa1mtwa2

mtwa1

nominoPlural watwa

  • 1

    mtu anayewafanyia hisani wengine.

    mfadhili

Matamshi

mtwa

/mtwa/

Ufafanuzi msingi wa mtwa katika Kiswahili

: mtwa1mtwa2

mtwa2

nominoPlural watwa

kizamani
  • 1

    kizamani mtawala wa kijadi wa Wahehe.

Matamshi

mtwa

/mtwa/