Ufafanuzi wa mtwanzi katika Kiswahili

mtwanzi

nominoPlural watwanzi

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kutwanga nafaka k.v. mtama, mahindi, n.k. kwa malipo.

Matamshi

mtwanzi

/mtwanzi/