Ufafanuzi wa muahada katika Kiswahili

muahada

nominoPlural miuahada

  • 1

    maelewano kati ya pande mbili, watu wawili au asasi zenye maslahi yaliyo sawa.

    mwafaka

Asili

Kar

Matamshi

muahada

/muwahada/