Ufafanuzi wa muamala katika Kiswahili

muamala

nominoPlural miuamala

 • 1

  hali ya mtu kuwa na uelewano mzuri na watu wengine.

  ‘Ndugu wale hawana muamala’

 • 2

  uhusiano wa kibiashara.

 • 3

  mchakato wa kibiashara.

Asili

Kar

Matamshi

muamala

/muamala/