Ufafanuzi wa muda katika Kiswahili

muda

nominoPlural miuda

 • 1

  kipindi cha wakati maalumu baina ya saa, siku, miaka, n.k..

  ‘Muda mrefu umepita tangu tupate mvua’
  mwia, wakati, wasaa, kitambo

 • 2

  ‘Sina muda wa kufanya kazi yako’
  nafasi

Asili

Kar

Matamshi

muda

/muda/