Ufafanuzi wa mudu katika Kiswahili

mudu

kitenzi elekezi

  • 1

    kuwa na uwezo au nguvu za kufanya jambo.

    weza, dabu

Matamshi

mudu

/mudu/