Ufafanuzi wa Muharamu katika Kiswahili

Muharamu

nominoPlural Muharamu

  • 1

    mwezi wa kwanza katika kalenda ya Uislamu; mfunguo nne.

Asili

Kar

Matamshi

Muharamu

/muharamu/