Ufafanuzi wa muhimu katika Kiswahili

muhimu

kivumishi

  • 1

    -enye kufaa mazingatio; -enye maana; -a kutopuuzika.

Matamshi

muhimu

/muhimu/