Ufafanuzi wa muhogo katika Kiswahili

muhogo

nominoPlural miuhogo

  • 1

    mmea wenye shina lenye vidutu na moyo mwororo ambao unazaa mihogo, pia majani yake hutumika kuwa mboga ya kisamvu.

  • 2

    mzizi wa mmea huo unapokuwa tayari kwa kuliwa.

Matamshi

muhogo

/muhɔgɔ/