Ufafanuzi wa muhudi katika Kiswahili

muhudi

nominoPlural muhudi

Kidini
  • 1

    Kidini
    mtu anayeaminiwa na waumini wa baadhi ya dini kuwa atakuja karibu na mwisho wa dunia.

Asili

Kar

Matamshi

muhudi

/muhudi/