Ufafanuzi msingi wa mujarabu katika Kiswahili

: mujarabu1mujarabu2

mujarabu1

kielezi

  • 1

    papo kwa papo; mara tu.

    ‘Mujarabu wa kumtaja akatokea’

Asili

Kar

Matamshi

mujarabu

/muʄarabu/

Ufafanuzi msingi wa mujarabu katika Kiswahili

: mujarabu1mujarabu2

mujarabu2

kivumishi

  • 1

    (hutumika kuelezea sifa ya dawa) -enye kufaa.

Matamshi

mujarabu

/muʄarabu/